BADGE

Saturday, May 15, 2010

Wanawake msiolewe na vijana au wazee

Utafiti mpya umeonyesha kwamba wanawake wanaotaka kuishi maisha marefu hawana budi kuolewa na wanaume walio na umri sawa.Kuolewa na mzee au kijana kuna fupisha maisha ya mwanamke